NI AIBU KITETO KULIA NJAA






Hili ni gari miongoni mwa magari yanayosomba mahindi kila kukicha kupeleka Nchi ya Jirani Kenya lakini Uongozi wa Wilaya unasema "KITETO KUNA NJAA" unaonaje kauli hii na hiki unachokiona hapa..



Maoni