MABAKI YA MIRADI YA MAJI BENKI YA DUNIA KITETO

Benki ya Dunia ilitoa fedha nyingi sana hapa nchini kila Wilaya kwaajili ya kuondoa adha ya maji, hata hivyo fedha hizo zimeyeyuka zisijulikane zimefanya nini baada ya miradi hiyo kuwa magofu

Sasa  ni nyumba iliyokuwa imeandaliwa kwaajili ya kutekea maji mara tuu mradi utakapokamilika toka imekalimika hakuna hata tone la maji lililoingia hapo sasa tuseme nao wazungi wamepiga kwa kiswahili cha sasa?

Mpango ulikuwa kila Wilaya ilianza na vijiji 10 vya mwanzo na mradi huu ullikuwa wa zaidi ya miaka mitatu sasa nyumba hizi zimebaki makazi ya popo na zingekuwa na ukubwa angalau futi 10x10 watu tungepangishiwa lakini acha tu

Ikumbukwe wananchi nao walichangishwa uone yalivyo sasa nani wakumlaumu kuhusu wizi huu wenyeviti wa Kijiji au Mzee Kikwete mwenywe

Maoni