UHITAJI WA MAJI KWA MIFUGO NA BINADAMU NI MUHIMU KITETO

Hii ndio hali iliyopo katika maeneo mengi Wilayani Kiteto kuwa maji badi ni tatizo lakini pia sheria hazisimamiwi ipasavyo kama ulivyoona gombe zinkinywa maji ndani ya bwawa ikisingiziwa kuwa siasa inachukuwa nafasi kubwa

Maoni