WANANCHI KITETO KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI NA MADHARA YAKE


PICHA CHINI NI HATUA ZA KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI KWA WANANCHI BAADA YA KUSHINDWA KUTIMIZA ADHMA YAO KITUO CHA POLISI KITETO NA KUAMUA KWENDA KUMALIZIA HAZIRA KWENYE NYUMBA NA MTUMIWA WA MAUAJI YA MAREHEMU RASULI DEREBA BODABODA ALIYEKODISHWA NA KWENDA KUNYONYEA MAENEO YA MBELI KITETO
PICHA HAPO JUU NI ASKARI POLISI WA KITETO WAKIJIANDAA KWENDA KUKABILIANA NA UHALIFU ULIOFANYWA NA WANANCHI WA MJI WA KIBAYA KUCHOMA NYUMBA YA MTUHUMIWA WA MAUAJI YA DEREVA BODABODA KITETO HIVI KARIBUNI AMBAPO WANANCHI WALITEKETEZA NYUMBA NA MTUHUMIWA HUYO

Maoni