BIDHAA FEKI ZAKAMATWA NA KUTEKETEZWA KITETO

Hizi ni katoni 572 za pombe aina ya Banana zilizokamatwa Wilayani Kiteto Mkoani Manyara zikiuzwa kwenye maduka baada ya kwisha muda wake  ambapo madhara makubwa yanahofiwa kujitokeza kwa waliokunywa pombe hiyo Picha na Mohamed Hamad Manayara

Maoni