Haya ni maauaji ya kinyama yanayoendelea kujitokeza kiteto je yataendelea mpaka lini? nanyi viongozi mnajipimaje kwa kuona watanzania wenzenu wakitatizwa maisha yao?
mnadhani kwa muda wote ninyi viongozi wa kiteto mkiwa hamtaki kujitokeza kwa wananchi mnadhani mnatafsiriwaje na waliowaajiri...
Maoni
Chapisha Maoni