Katika hali isiyokuwa ya kawaida mauaji yanayoendelea kujitokeza kati ya wakulima na wafugaji imesononesha bunge ambapo serikali imetoa tamko
awali akiomba mwongozo wa spika moze abeid cuf aliyefika kiteto kuonyesha hali iliyopo alisema kiteto imekuwa kama mauaji ya kimbari ukabila
Maoni
Chapisha Maoni