MAUAJI YA WAKULIMA NA WAFUGAJI KITETO YAONGEZEKA

na mohamed hamad kiteto

IDADI ya watu waliokufa kiteto imeongezeka na kufikia saba baada ya wakulima wawili kuuawa kijiji cha chekanao

awali watu watano wa kijiji cha matui waliuawa nov 12 kijiji cha matui 2014 wakilipizana visasi

Maoni