MBUNGE WA KITETO AFUNGUKA

NA MOHAMED CHUMVI

Hatimaye mbunge wa jimbo la kiteto BENEDICT NANGORO ameweza kutoa ya moyoni kuhusu migogo wa ardhi akisema ili kuepuka uundwe utaratibu wa kuzuia watu kutoka wilaya za jirani kuja kiteto

kauli hiyo ikapingwa vikali na mkuu wa mkoa wa manyara elaston mbwillo akisema kila mtu ana haki ya kuishi popote ili mradi asivunje sheri

haya yalijitokeza kqenye kikao cha ujirani mwema vijiji partimbo kiperesa chini ya uongozi wa mkoa 12.11.2014

Maoni