watu watano wamefatiki dunia wilayani kiteto manyara kutokana na kuibuka mgogoro upya wa ardhi kati ya wakulima na wafugaji
tukio hlo limetokea kata ya matui kiteto ambapo kati ya hao wawaliofariki yupo mwanamke wa jamii ya kifugaji mmasai
taarifa zauhakika zinasema hali ni tete matui baada ya wafugaji hao wa kimasai kudaiwa kumiki silaha kali za moto bunduki
jumla ya maboma 8 ymedaiwa kuchomwa moto huku ngombe nyingixikidaiwa kuporwa
Maoni
Chapisha Maoni