HAYA NI MAISHA BORA?

KUNA MASWALI MENGI YA KUJIULIZA MF UNAWEZA KUULIZA NINI MAANA YA MAISHA BORA...

TAZAMA WAKAZI HAWA HIVI HAWATAMANI KUWA KWENYE NYUMBA ZA GOROFA?

UNA MANENO GANI UNAYOWEZA KUSENA JUU YA WAKAZI HAWA..WA KITETO ENEO LA MBERI

Maoni