KUNA WATU HUWA HAWAAMINI KUWA WATOTO WAO HUFANYA VIOJA MITAANI
HAPA ILIKUWA NI SIKU YA UKIMWI KIWILAYA ILIFANYIKA MBELI WILAYANI KITETO ONA WATOTO WAKINYANGANYANA CHAKULA
WAZAZI WANAONA NA WALIBAKIA KUCHEKA LAKINI JEE UNADHANI TATIZO NINI TWENDE PAMOJA...TUCHANGIE HAPA
Maoni
Chapisha Maoni