Wananchi Kiteto wazidi kupata changoto

Na.Mohamed Hamad
SEKTA ya elimu wilayani kiteto mkoani manyara inazidi kupata changamoto za uhaba wa samani na thamani pamoja na waalimu wa chache

Shule ya msingi Engusero sidani iliyopo wilayani kiteto yenye darasa la kwanza hadi la saba inavyumba vitatu vyabma darasa huku wanafunzi wengine wakikaa chini ya miti na kujalia mawe kama madawati...

Maoni