DK. SHEIN AOMBA KURA DIMANI MKOA MJINI MAGHARIBI


Baadhi
ya wanaCCM waliohudhuria katika Mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM
Jimbo la Dimani Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wakimskiliza mgeni
rasmi katika mkutano huo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein
alipokuwa akizungumza nao leo katika uwanja wa mpira wa Dimani.
WASILIANA NAMI KWA NAMBA 0787 055080 / 0758 222248
Maoni
Chapisha Maoni