KOREA KASKAZINI YAFANYA MAADHIMISHO

KOREA KASKAZINI YAFANYA MAADHIMISHO




Gwaride kubwa la kijeshi linafanyika nchini Korea Kaskazini kuadhimisa miaka 70 ya chama tawala cha wafanyikazi.
Gwaride hiyo linafanyika katika mji mkuu wa Pyongyang na kuwashirikisha maelfu ya wanajeshi
 



Utawala nchini Korea Kaskazini pia unatarajiwa kutumia sherehe hizo kuonyesha ubabe wao wa zana kivita.
Mvua kubwa ya usiku kucha imesababisha kuchelewa kwa sherehe hizo kwa saa kadhaa.

xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0758 222 248/0787 055080
Email . masarade1995@gmail.com ,
ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE

Maoni