MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO, KATIKA KITUO CHA KUTUNZIA KUMBUKUMBU CHA TAIFA (NATIONAL INTERNET DATA CENTRE) KIJITOMYAMA.
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO, KATIKA KITUO CHA KUTUNZIA KUMBUKUMBU CHA TAIFA (NATIONAL INTERNET DATA CENTRE) KIJITOMYAMA.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akifunua kitambaa kuzindua Jengo jipya la Mradi wa Kituo cha Kutunzia
kumbukumbu Taifa (National Internet Data Centre) Kijitonyama, wakati wa
hafla hiyo ya uzinduzi iliyofanyika leo Kijitonyama, jijini Dar es
Salaam. Kushoto ni Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Makame
Mbarawa.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib,
akipata maelezo kuhusu utendaji kazi wa mitambo ya kutunzia kumbukumbu,
kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Huduma na Bidhaa za Shirika la Simu
Tanzania, TTCL, Issaya Ernest, wakati Dkt Bilal, alipotembelea kituo
hicho cha kutunzia kumbukumbu cha Taifa (National Internet Data Centre)
Kijitonyama, leo Okt 21, 2015.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Makame Mbarawa, kwa
pamoja wakifunua kitambaa kuashiria uzinduzi rasmi wa Kituo cha kutunzia
kumbukumbu cha Taifa (National Internet Data Centre) Kijitonyama, leo
Okt 21, 2015.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Makame Mbarawa (kushoto)
na Mwakilishi wa Ofisi ya Uchumi na Biashara ya Serikali ya China,
nchini Tanzania, Lin Zhiyong, kwa pamoja wakikata utepe kuashiria
uzinduzi rasmi wa Kituo cha kutunzia kumbukumbu cha Taifa (National
Internet Data Centre) Kijitonyama, leo Okt 21, 2015.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Simu Tanzania TTCL,
wakati alipotembelea kituo hicho cha kutunzia kumbukumbu cha Taifa
(National Internet Data Centre) Kijitonyama, leo Okt 21, 2015. Kushoto
ni Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Makame Mbarawa (kulia)
ni Afisa Mtendaji wa TTCL, Dkt. Kamugisha Kazaura.
Mrisho Mpoto na wasanii wa bendi yake ya Mjomba, wakitoa burudani.
Waziri
wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Makame Mbarawa, akizungumza
kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Makamu wa Rais, kuhutubia.
Sehemu
ya wafanyakazi wa Shirika la Simu Tanzania, wakimsikiliza Makamu wa
Rais Dkt. Bilal, wakati alipokuwa akizungumza nao baada ya kutembelea
mitambo hiyo, Kijitonyama.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati wa hafl ya uzinduzi wa Kituo cha kutunzia kumbukumbu
cha Taifa (National Internet Data Centre) Kijitonyama, jijini Dar es
Salaam leo Okt 21, 2015.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akibofya kitufye kuashiria uzinduzi rasmi wa Kituo cha kutunzia
kumbukumbu cha Taifa (National Internet Data Centre) Kijitonyama, jijini
Dar es Salaam, wakati wa hafla ya uzinduzi huo uliofanyika leo Okt 21,
2015.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipokea zawadi kutoka kwa Afisa Mtendaji wa TTCL, Dkt. Kamugisha
Kazaura, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kituo cha kutunzia kumbukumbu
cha Taifa (National Internet Data Centre) Kijitonyama, jijini Dar es
Salaam, wakati wa hafla ya uzinduzi huo uliofanyika leo Okt 21, 2015.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa hafla ya
uzinduzi huo baada ya kuzindua rasmi leo Okt. 21, 2015 Kijitonyama,
jijini Dar es Salaam.
Picha
na OMR
Maoni
Chapisha Maoni