PICHA NYINGINE KUTOKA KWENYE MAZISHI YA DR MAKAIDI
Jeneza lenye mwili wa marehemu Makaidi likiwa mbele wakati ibada maalum ya kumuombea ikiendelea.Mke wa marehemu, Bi Modester Makaidi akionekana mwenye majonzi mazito.
Baadhi ya viongozi mbalimbali wa vyama na serikali wakiwa wamekusanyika Viwanja vya Karimjee kuuaga mwili wa mpendwa wao, Dk Makaidi.
Jeneza lenye mwili wa Dk Makaidi likiwa limefunikwa.
Baadhi ya viongozi mbalimbali wa vyama na serikali wakiwa wamekusanyika Viwanja vya Karimjee kuuaga mwili wa mpendwa wao, Dk Makaidi.
Jeneza lenye mwili wa Dk Makaidi likiwa limefunikwa.
Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema akiwakilisha Ukawa, Edward Lowassa akipita kuaga mwili wa marehemu Makaidi.
Jeneza likiwa juu ya kaburi, viongozi wa Ukawa wakiwa wameketi wakati wa maombi maalumu kabla ya mazishi kuanza.
Mtoa maombi akiendelea na Ibada fupi kabla ya mazishi.Jeneza lenye mwili wa marehemu Makaidi likiwa limewekwa juu ya kaburi.
Jeneza lenye mwili wa marehemu Dk Makaidi likiingizwa kaburini.

MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chadema
akiwakilisha Ukawa, Edward Lowassa amewaongoza mamia ya waombolezaji
kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha NLD ambaye pia ni
Mwenyekiti mwenza wa Ukawa, Dk. Emmanuel Makaidi katika Viwanja vya
Karimjee na kuzikwa katika makaburi ya Sinza jijini Dar es Salaam.
Baada ya mwili wa marehemu kuagwa katika
Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, ulipelekwa moja kwa moja
kupumzishwa katika nyumba yake ya milele kwenye makaburi ya Sinza, Dar.
Marehemu Dk. Makaidi alikutwa na mauti
Oktoba 15, mwaka huu akiwa mkoani Lindi kwa shinikizo la damu na alikuwa
mgombea ubunge katika Jimbo la Masasi.
TELL 0787 055080 0758 222248
Maoni
Chapisha Maoni