HONGERA SAMIA SULUHU HASSAN KUWA MAKAMU WA RAIS TANZANIA



Mh. Samia Suluhu Hassan ameapishwa rasmi kuwa makamu wa urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania pamoja na kusaini kiapo chake leo Tar. 05/11/2015 saa nne na dakika hamsini na nne.

Maoni