LIGI YA POLISI JAMII KITETO IMEMALIZIKA


Mgeni rasmi alikuwa mkuu wa wilaya ya Kiteto Kanal Samue Nzoka akiambatana na mwaandaaji wa shindano hilo OCD wa Kiteto Katabazi ambapo walisema lengo la polisi ni kujenga mahusiano mema yaliyokuwa yameanza kutoweka kati ya wanajamii hao hususani wakulima na wafugaji kupigana kwasababu ya ardhi

WALISEMA KWA SASA MAHUSIANO HAYO YAMEIMARIKA NA SASA HAPA NI KAZI TU...KAMA ILIVYO KAULI MBIU YA JPM RAISI WA TANZANIA..
Timu ya matui kata ya matui chini ya kocha wake anayeonekana kunyoosha mkono juu OCS..
Timu ya rege Boyz ya kibaya ambayo ni mshindi wa ligi ya Polisi Jamii

                                                             Picha na mwanganamatukio

Maoni