Mwenyekiti
wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe na aliyekuwa mgombea urais wa chama
hicho Mhe. Edward Lowassa pamoja na viongozi mbalimbali wakitazama eneo
ambalo Alphonce Mawazo alifanyiwa kitendo ya kinyama cha kukatwakatwa
mapanga na watu wanaosemekana ni wafuasi wa CCM ikiwa ni umbali mchache
kutoka kutuo cha polisi na ofisi za CCM katika barabara kuu inayoelekea
Geita kutokea Busanda.
Umati
mkubwa wa wakazi wa Jimbo la Busanda waliojitokeza kutoa heshima za
mwisho kwa aliyekuwa mgombea ubunge na M/kiti wa Mkoa wa Geita, Alphonce
Mawazo.
Mwili wa Marehemu Alphonce mawazo ukipokelewa na wakazi wa jimbo la Busanda ambako alikuwa akiwania Ubunge katika jimbo hilo
Maoni
Chapisha Maoni