KWA HISANI YA MILLARDAYO...
Tanzania imeingia kwenye headlines katika vyombo vya habari
mbalimbali baada ya kupata rais wa awamo ya tano wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Dk.John Pombe Magufuli aliyeapishwa leo kwenye uwanja wa
Taifa
Katika sherehe hizo za kuapishwa kwa
rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, marais kutoka nchi mbalimbali
waliodhuhuria akiwemo, Jacob Zuma, Robert Mugabe, Kenyatta, Paul Kagabe,
Maoni
Chapisha Maoni