Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Breaking news "Sheikh issa ponda yuko huru hakuwa na kosa "


''Allah ni Mjuzi Allah na ni Mbora wa kulipa.

Sheikh Ponda utayakuta malipo yako kwa Allah yakiwa makubwa kwa subra na ustahamilivu kwa ajili ya dini yake.

Hukuwa tayari kuuza uhuru wako kwa matakwa ya wenye kudhulumu.

Muda wote ulitutia moyo mawakili wako kila tulipokutana na vitimbi.

Mara nyingi sisi mawakili tulikuwa kama wateja na wewe ndiye wakili.

Hakika wewe ni kiongozi.

Umma huu wa Waislam wa Tanzania utaishi kwa mfano wako.

Alhamdulilah leo uko huru baada ya miaka miwili na miezi mitatu jela ukiwa na jeraha kubwa la risasi.

Allah anayo siri kubwa katika maisha yako Sheikh Ponda.

Allah akuhifadhi kiongozi wetu.

Amin.''




Wakili Juma Nassoro




Sheikh Ponda akiwa katika pingu za mikono mahakamani











Sheikh Ponda akiwa huru baada ya kuonekana hana kosa na mahakama Morogoro
(Picha kwa hisani ya www.sehkideleblogspot.com)






Sheikh Ponda chini ya ulinzi
Sheikh Ponda katika hafla ya kusheherekea Eid El Fitr 2006 Viwanja Vya Mnazi Mmoja kushoto kwake ni Sheikh Ali Basaleh


Sheikh Ponda akizungunza na Waislam Msikiti wa Mtambani
Sheikh Ponda mbele ya Kibla cha Msikiti wa Mtambani
Sheikh Ponda kwenye hafla ya kuukaribisha mwezi mtukufu wa Ramadhani 2013 Mwalimu Nyerere Conference Centre


Sheikh Ponda akielekea Kibla akiomba dua kabla ya kuongoza maandamano ya Waislam kupinga dhulma zilizokuwa zikifanywa na (NECTA) Baraza la Mitihani dhidi ya wanafunzi Waislam



Maandamano ya kuipinga NECTA yaliyoongozwa na Sheikh Ponda yakielekea Kidongo Chekundu
Wakili Juma Nassoro akiwa na Mzee Bilali Rehani Waikela kutokea Tabora aliyekuja kutoa ushahidi
Mahakamani Kisutu kesi ya Sheikh Ponda


Sheikh Ponda kizimbani mahakamani Morogoro akiwa na mawakili wake kulia ni Wakili Juma Nassoro




Sheikh Ponda mbele ya Kibla Msikiti wa Mtambani kulia ni Prof. Ibrahim Lipumba




Sheikh Ponda mahakamani Morogoro kulia kwake ni Wakili Juma Nassoro






Kushoto Mzee Bilal Rehani Waikela, Mwandishi na Wakili Abubakar Salum Mahakamani Morogoro


Sheikh Ponda akizungumza na Wakili Nassoro
Askari katika msafara wa Sheikh Ponda
Waislam wa Morogoro wakitoka kusikiliza kesi ya Sheikh Ponda









Sheikh Ponda akiwa mahakamani na walinzi

Maoni