Ruka hadi kwenye maudhui makuu
SPIKA WA BUNGE LA 11 NI JOB NDUGAI
- Ashinda kura kwa asilimia 70
Ndugu
Job Ndugai amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge la 11 la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania kwa kushinda kura 254, Katika uchaguzi ambao wapiga
kura walikuwa 365 zilizoharibika kura 2
Maoni
Chapisha Maoni