Mkutano huu utahutubiwa na viongozi wakuu wa UKAWA pamoja na Mh Lowasa,ni mkutano wa kihistotria ambao Viongozi wetu watazungumza na Watanzania kupitia Arusha.
Maandalizi yamekamilika.
mkutano unaanza kwa viongozi wa dini kusali,na kubariki viwanja hivi,CHADEMA tunaanza na Mwenyenzi Mungu
Mwenyekiti wa wilaya anaanza kwa kufungua rasmi mkutano
Anawashukuru wanaarusha kwa ushindi mkubwa wa kata 24 kati ya 25.
Maoni
Chapisha Maoni