Akizungumza na wananchi baada ya kufanya usafi leo Disemba 9, 2015, Rais Mstaafu, Jakaya Mrisho Kikwete amedai Wakwepa Kodi hawataacha kufanya hivyo. Amesema kama Chama (CCM) wanamuunga Mkono Rais Magufuli kwa jitihada zake za kupambana na Wahujumu Uchumi.
Amesema kuwa hajawahi kuagiza mtu yoyote kukwepa kodi na kudai ni siasa za majitaka za watu walioshindwa.
CHANZO JAMIIFOUMS
Maoni
Chapisha Maoni