MWANAMUZIKI KASONGO MPINDA AFARIKI DUNIA


Mwanamuziki mkongwe nchini Kasongo Mpinda Clayton wa ngulupa tupa tupa dance ngoma za magorofani jijini Dar es Salaam afariki dunia Jioni ya leo

Maoni