katapila la Halmashauri ya Kinondoni jijini Dar es salaam likivunja Eneo maarufu la supu na pombe Eneo la Lego Sinza barabara ya Shekilango asubuhi ya leo Eneo hilo ni Eneo la wazi lililovamiwa
Wananchi wakitazama kubomolewa kwa Eneo maarufu la Lego
Askari wa FFU wakiwa wameweka ulinzi Mkali
Wananchi wakipakia Mabaki
Maoni
Chapisha Maoni