hatari nyuki hizi...





Huyu jamaa anatoka nchini Nepal na anaonyesha ubabe wa kujifunika na mamilioni ya nyuki kwa mwili wake bila hata ya mmoja kumuuma.
Surya Prasad Lamichhane, mwenye umri wa miaka 34, amekuwa akifuga nyuki kwa miaka 9 na anawachukulia kama marafiki zake wa karibu.

Maoni