MBIO ZA MWENGE KITETO 2016 Septemba 13, 2016 Pata kiungo Facebook X Pinterest Barua pepe Programu Nyingine Katibu Tawala wa wilaya ya Kiteto Bw. Ndaki..akisoma Risala ya Utii Kwa Rais Kamati ya ulinzi na usalama, Wilayani Kiteto wakati ikisomwa risala ya utii Kijiji cha Engusero.. Kamati ya Ulinzi na usalama ya mkoa wa Manyara, katika kijiji cha Engusero wakati ikisomwa Risala ya Utii kwa Rais Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Dr. Joel Nkaya Bendera, akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, mpakani mwa Wilaya ya Kiteto na Kongwa, Picha na mwanganamatukio.. Mbio za Mwenge Sept. mwaka 2016 Wilayani Kiteto. Picha na mwanganamatukio Maoni
Maoni
Chapisha Maoni