PICHA SITA ZA UKATILI ALIOFANYIWA MWANAMKE KITETO

Picha sita za ukatili aliofanyiwa Faida Kondo (27) wa Kijiji cha Nalang tomon kata ya Partimbo Wilayani Kiteti mkoani manyara, kwa kukatwakatwa mapanga na mwanamme mmoja ambaye alikimbia

kwa mujibu wa majeruhi hakuna sababu za msingi za kujeruhiwa kwake ila ni maamuzi ya kijana huyo kufanya ukatili kwa kumkatakata mapanga na kuondoka kusiko julikana picha na mwanganamatukio

Maoni