FINCA Kiteto watoa mafunzo ya ujasiria mali kwa wastaafu

Meneja wa Benki ya FINCA Bw. Elly akifafanua jambo wakati akizungumza na wazee wastaafu Kiteto, Manyara Tanzania


Baadhi ya wazee wastaafu Wilayani Kiteto wakipatiwa mafunzo ya ujasiria mali na FINCA Kiteto Manyara Tanzania

Baadhi ya wazee wastaafu Wilayani Kiteto wakipatiwa mafunzo ya ujasiria mali na FINCA Kiteto Manyara Tanzania.




 Wazee wastaafu Wilayani Kiteto wakifuatilia mafunzo ya ujasiria mali yaliyotolewa na FINCA hivi karibuni


Maoni