MADIWANI SIMANJIRO WAJIPANGA KUKABILI CHANGAMOTO NA KUTUMIA FURSA

MADIWANI SIMANJIRO WAJIPANGA KUKABILI CHANGAMOTO NA KUTUMIA FURSA


Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Jackson Leskar Sipitieck akizungumza kwenye kikao cha robo ya nne ya Baraza la Madiwani wa halmashauri hiyo (kushoto) ni Makamu Mwenyekiti Albert Msole.




Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Yefred Myenzi akisoma salamu zake juu ya mikakati aliyonayo kwenye kikao cha robo ya nne ya Baraza




Mbunge wa Jimbo la Simanjiro Mkoani Manyara, James Ole Millya akizungumza kwenye kikao cha robo ya nne ya Baraza la Madiwani wa halmashauri hiyo kuhusiana na mikakati ya kuboresha mji mdogo wa Orkesumet.



Diwani wa Viti maalum wa Tarafa ya Emboreet Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Rehema Naimani, akizungumza akizungumza kwenye kikao cha robo ya nne ya Baraza



Diwani wa Kata ya Naberera, Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Haiyo Yamat Mamasita akizungumza kwenye kikao cha robo ya nne ya Baraza




Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro, Mkoani Manyara, wakifuatilia kikao cha robo ya nne ya Baraza la Madiwani.

Maoni