Mila na tamaduni za jamii ya kiafrifa (maasai)..

Mila na tamaduni za jamii ya kifugaji masai, hapa ni vijana wa kiume wakiwa siku kadhaa porini baada ya kutahiriwa huko Wilayani Kiteto Mkoani Manyara Tanzania..


                                                   Vijana wa jamii ya kifugaji (nyangulo)
...

Sherehe za jamii ya kifugaji, maasai huwa lazima waingie zizi la ngo'ombe ndio wacheze..


Hapa jamii ya kifugaji wakiwa katika ngama zao za asili..

Walengwa wa sherehe na mavazi yao kama yanavyoonekana..

Maoni