SABASITA..AWAPATIA VIFAA VYA MICHEZO SHULE YA MSINGI LALAKIR

MKUU WA KITUO CHA POLISI KITETO, PATRICK KIMARI, AKIKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO SHULE YA MSINGI LALAKIR..KATA YA PARTIMBO KITETO..

 
Shule ya msingi Lalakir iliyopo kata ya Partimbo Wilayani Kiteto mkoani Manyara, imepatiwa vifaa vya michezo vya thamani ya zaidi ya Tsh laki nane

Mkuu wa polisi Kiteto Patrick Kimaro akiongea na wanafunzi wa shule ya msingi Lalakir Kiteto..

Mbali na kutoa msaada wa vifaa vya michezo pia alitoa mfuko mmoja wa sukari na viungo kwaajili ya waalimu wanapokuwa shule wanywe chai..

Waalimu wa shule ya msingi Lalakir Wakikabidhiwa sukari ili wawe wanakunywa chai wanapokuwa shuleni..

PICHA ZOTE NA mwanganamatukio

MUUNGWANA NI VITENDO..

Maoni