Ziara ya NAIBU Waziri ofisi ya Rais, Tamisemi, Selemani Jaffo, Kiteto Manyara tar 12.10.2016. alitembelea eneo linalojengwa ofisi za Serikali Kiteto, na kuongea na watumishi picha na mwanganamatukio..
Kubwa aliwataka watumishi kuacha kufanya kazi kwa woga kuhofia kutumbuliwa..
Baada ya ziara hii alienda babati Mkoani Manyara..
Maoni
Chapisha Maoni