DC Kiteto,apambana na dawa za kulevya..

Kamati ya ulinzi na usalama, Kiteto ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya (DC) Tumaini Magessa, wakiwa na mtuhumiwa Geoge Juma (50) mwenye shati la kijani akiwa na mwanae wa pori namba mbili aliyetuhumiwa kulima, kutumia na kuuza zao haramu aina ya bangi huku akimiliki slaha aina ya bunduki kinyume cha sheria..

Mkuu wa Polisi Kiteto, Fadhili Luoga katika jitahada ya kumtia nguvuni mhalifu.. 
 Bangi ikiteketezwa Kiteto..

NA,MOHAMED HAMAD

Mkulima huyo anafahamika kwa jina la Geoge Juma (50) mkazi wa maeneo ya pori namba mbili kijiji cha kimana, ambapo baada ya kufikishwa mahakamani, alikiri kulima, kutumia na kuuza bangi, huku akimiliki kumiliki slaha aina ya bunduki kinyume cha sheria, kisha hakimu kumhukumu miaka 35 kwenda jela kwa makosa hayo,,

Kwa mujibu wa Mussa Mahakamani hapo alikiri kulima, kutumia na kuuza bangi, akisema hajashurudishwa maamuzi ya bali ni matakwa yake ingawa anajua Serikali inakataza..

Picha ni kwa hisani ya mwanganamatukio...  

Maoni