Shirika la ELEWA Afrika lapunguza adha ya maji Lengatei, Kiteto..



Mratibu wa shirika la ELEWA Afrika Kiteto, Fadhili Magogwa, akitoa maelekezo ya namna ya kufungulia maji, baada ya shirika lake kuchimba maji mpakani mwa Kijiji cha Lengatei na Orkitikiti Wilayani Kiteto mkoani Manyara..
 Mratibu wa shirika la ELEWA Afrika,Fadhili Magogwa, akikinga maji kwa mkono kama ishara ya mafanikio waliyopata baada ya kuchimba kisima kirefu chenye uwezo wa kutoa lita 19,000 elfu..
 Mratibu wa ELEWA Afrika, Fadhili Magogwa, mwenye shati la drafti akifafanua jambo..


Mratibu wa ELEWA Afrika, Fadhili Magogwa, mwenye shati la drafti, akiwa na maafisa kilimo na umwagiliaji kutoka Kiteto kwenye ukaguzi wa mradi wa maji..
 Mmoja wa wanajamii ya kifugaji maasai, akinywa maji yaliyochimbwa na shirika la ELEWA Afrika mpakani mwa Kijiji Lengatei na Orkitikiti Kiteto Manyara...
 Mratibu wa shirika la ELEWA Afirika Kiteto, Fadhili Magogwa akifungulia maji..
 Mratibu wa shirika la ELEWA Afirika Kiteto, Fadhili Magogwa akionyesha ishara ya kukabidhi mkazi wa Kijiji cha Orkkitikiti maji yaliyochimbwa na shirika la ELEWA Afrika..
 Wakazi wa Kijiji cha Orkitikiti, kata ya Lengatei, wilayani Kiteto, wakiwa katika mkutano..

Mratibu wa Shirika la ELEWA Afrika katika mkutano na wananchi wa Kijiji cha Orkitikiti ambao hawapo pichani..
 Mratibu wa Shirika la ELEWA Afrika akizungumza na akinamama wa jamii ya kifugaji maasai..wa kijiji cha Orkitikiti..
 Mratibu wa Shirika la ELEWA Afrika akimtwisha mama wa jamii ya kifugaji maasai ndoo ya maji..
 Watoto wa jamii ya kifugaji wakifurahia maji yaliyopatikana chini ya shirika la ELEWA Afrika..


 NA. MOHAMED HAMAD


ELEWA Afrika ni shirika lisilokuwa la kiserikali, ambalo limepunguza adha ya maji kwa wakati wa vijiji vitati katika kata ya Lengatei, Kijiji cha Orkitikiti, Losoit na Lengatei ambao walitumia muda mwingi kusaka maji kuliko kufanya shughuli zingine za maendeleo

Kwa mujibu wa Mhandishi wa maji Kiteto Eng James Kionaumela, wilaya inaweza kujimudu kuhudumia wananchi maji safi na salama kwa 36% vijijini, na mjini 37% ambapo jitihada kubwa zinaendelea kufanywa na Serikali na mashirika ya umma kupunguza adha kwa wananchi...


 Habari hizi ni kwa hisani ya blog ya mwanganamatukio..

Maoni