Wasabato Kiteto wachangia damu salama.

                                         Hospitali ya Wilaya ya Kiteto Mkoani Manyara...
Mch. wa kanisa la Waadventista Kiteto,Frank Julius Msangi, akisubiri kutoa damu salama..
Mmoja wa waumini wa kanisa la Adventista Kiteto akichangia damu salama..
Mmoja wa waumini wa kanisa la Adventista Kiteto akichukuliwa maelezo kabla ya kuchangia damu salama..
Waumini wa kanisa la Adventista Kiteto wakichukuliwa wakichangia damu salama..
Waumini wa kanisa la Adventista Kiteto wakisubiri utaratibu nje ya hospotali ya Kiteto wa kuchangia damu salama..
Waumini wa kanisa la Adventista Kiteto wakifuatilia maelekezo kutoa uongozi wa hospitali ya Kiteto..
 Waumini wa kanisa la Adventista Kiteto wakifuatilia maelekezo kutoa uongozi wa hospitali ya Kiteto..
 Waumini wa kanisa la Adventista Kiteto wakiwasalimia wagonjwa na kuwapa matunda hospitali ya wilaya ya Kiteto....

Waumini wa kanisa la Adventista Kiteto wakisubiri utaratibu..


NA. ,MOHAMED HAMAD

Waumini wa kanisa la Adventista Kiteto mkoani Manyara, wamejitokeza kuchangia damu salama katika hospitali ya wilaya, ambapo jumla ya Unit 20 zilipatikana

Kwa Mujibu wa kiongozi wa Hospitali ya Wilaya ya Kiteto, Dr. Madama alisema hospitali hiyo inauhaba wa damu salama, kiasi cha Unit 60 zinahitajika kila siku

Kufuatia hali hiyo wito kwa jamii umetolewa ili kuweza kujitolea kutoa damu salama kwaajili ya wahitaji..

JAMANI KUTOA NI MOYO SIO UTAJIRI, KUNA KILA SABABU YA WATU KUGUSWA KUJITOLEA DAMU SALAMA KWAAJILI YA WAHITAJI NI JAMBO JEMA

ASANTE SANA WAUMINI WA KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO KITETO MMEFANYA JAMBO JEMA SANA KWA JAMII..

Maoni