JUKWAA LA VIJANA


Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Kiteto, Tamimu Kambona katikati akiteta na mtumishi wa Idara ya elimu, muda mfupi baada ya kuzungumza na wajumbe wa jukwaa la vijana Kiteto, katika ofisi za shirika la KINNAPA
Paulina Kiria mtumishi wa shirika la KINNAPA, akisalimiana na Mkurugenzi wa Kiteto, Tamimu Kambona baada ya kikao cha jukwaa la vijana Kiteto kushoto ni mwenyekiti wa jukwaa, Hamza mngia..
Picha ya pamoja kati ya mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Kiteto na wajumbe wa jukwaa la vijana Kiteto..


NA, MOHAMED HAMAD
JUKWAA la vijana Kiteto
 
 

Maoni