Manyara wapitisha katiba yao kutumika 2017



Charles Masayanyika Mwenyekiti wa Manyara Press Club, akitoa taarifa ya chama na kumkaribisha mkurugenzi wa mji wa Mbulu Bi. Anna Mbogo, kufungua kikao cha waandishi wa habari wa Mkoa wa Manyara kilichohusu kupitisha katiba ya chama..

Mkurugenzi wa mji wa Mbulu, Bi. Anna Mbogo akizungumza na wanahabari wa mkoa wa Manyara..

Mkurugenzi wa wilaya ya Mbulu vijijini, Hadson Kamoga, akifunga kikao cha wanahabari kilichofanyika wilayani Mbulu..

Wanahabari wakifuatilia jambo kwenye kikao cha kupitisha katiba ya Manyara press klub..
Wanahabari wakifuatilia jambo kwenye kikao cha kupitisha katiba ya Manyara press klub..
Wanahabari wakifuatilia jambo kwenye kikao cha kupitisha katiba ya Manyara press klub..
Wanahabari wakifuatilia jambo kwenye kikao cha kupitisha katiba ya Manyara press klub..
Wanahabari wakifuatilia jambo kwenye kikao cha kupitisha katiba ya Manyara press klub..


Jengo la Halamshauri ya Mbulu lililotumika kufanyika kikao cha waandishi wa habari..
Picha ya wanahabari Manyara, wakiwa pamoja na mkurugenzi wa mji wa Babati, Bi. Anne Mbogo..


NA. MOHAMED HAMAD
WAANDISHI wa habari mkoani Manyara, wameaswa kuwa chachu ya maendeleo kwa kufanya kazi ya kuibua changamoto zinazowakabili weananchi

Akizungumza hayo wakati wa kufungua kikao maalum cha waandishi wa habari kilichofanyika mjini Mbulu, mkurugenzi wa mji wa Mbulu, Bi. Anna Mbogo, aliwataka waandishi wa habari kuwasaidia wananchi katika nyanja mbalimbali

"Waandishi andikeni habari za kuwasaidia wananchi kuondokana na adha ili kuzijua fursa zao mbalimbali zitakazowasaidia kuondokana na changamoto na hata kufikiwa maendeleo tarajiwa"

Akizungumza na wanahabari hao, wakati wa kufunga kikao hicho, Mkurugenzi wa halamshauri ya Mbulu vijijini, Hadson Kimoga, ambaye alikuwa mwandishi, aliwataka waandishi kuwa na utamaduni wa kukosoa kwa lengo la kujenga

"Tuwe wana Manyara, hata mambo yetu tunayoandika,hata kama tunakosoa..tumkosoe mtu kwa kujenga ( be creatcise in contractive)"

Kuhusu maslahi ya waandishi wa habari, Mkuruhenzi Kamoga aliutaka uongozi huo kuwa na utamaduni wa kujadili namna bora ya kufanya kazi na kuboresha maslahi yao kwa kuanzisha vyanzo vya mapato

Kwa upande wake Mwenyekiti wa chama hicho, Charles Masayanyika, alimkahikishia mkurugenzi Kamoga kuwa atafanya kazi kwa uadilifu kusimamia tasnia hiyo 

Mwisho.





Maoni