LHRC watoa msaada wa kisheria Kiteto

Rodrick Maro, Mwanasheria wa kituo cha Sheria na Haki za BinadamU LHRC, akitoa msaada wa kisheria mjini Kibaya..
Msaada wa Kisheria LHRC..Kiteto Manyara Tanzania
Mwadawa Ally msaidizi wa Kisheria Kiteto akiwasiliza wateja, walipowasili jopo la wanasheria toka LHRC..
Msaada wa Kisheria Kiteto Manyara Tanzania
Msaada wa Kisheria Kiteto Manyara Tanzania..
Msaada wa Kisheri Kiteto Manyara Tanzania
Irene Nambuo toKA lhrc akiwa katika majukumu ya usaidizi wea kisheria wilayani Kiteto
Wakili Janeth wa  LHRC akimsikiliza mteja mjini Kibaya Kiteto Manyara,,
Msaada wa kisheria toka LHRC mjini Kibaya Kiteto Manyara Tanzania


Na, MOHAMED HAMAD
JOPO la wanasheria na wasaidizi wa kisheria kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu LHRC, limetoa msaada wa kisheria vijiji mbalimbali Wilayani Kiteto mkoani Manyara.

Vijiji vilivyofikiwa na jopo hilo ni Lerug, Matui, Engusero, Kiperesa na Dosidosi ambapo walikutana na wananchi na kuwapa elimu juu ya masuala ya ardhi, Ndoa, Ukatili wa Kijinsia, kazi, Rufaa, Mirathi na haki ya mtoto

Wananchi wa wilaya ya Kiteto inakabiliwa na changamoto za kisheria hali inayofanya wengi wa wananchi kukosa haki zao za kikatiba

MWISHO


Maoni