CCM Kiteto wasimamia Ilani yao

Chama cha mapibduzi CCM Kiteto imerishishwa na utekelezaji wa Ilani yake inayofanywa na Serikali

Katibu wa CCM Kiteto Pashue Shekue amesema, kinachofanyika sasa kina matumaini kwa wananchi

Mkurugenzi Kambona anafanya zaidi ya tunachofikiria hivyo, tunampa nafasi zaidi kywatumikia wananchi wa Kiteto

Maoni