Kikosi kazi cha ukuta Mirerani

Mkuu wa Mkoa wa Manyara, mhe Alexander Mnyeti, Naibu Waziri wa Madini mhe Dotto Biteko, Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro mhe Zephania Chaula.

Wakiwa na viongozi wengine wa mkoa, wilaya na askari wa jeshi wanaosimamia ujenzi wa ukuta wa madini ya Tanzanite wa Mji mdogo wa Mirerani ambao umekamilika,

wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kikao kazi kumalizika.

Maoni