Taarifa za uhakika inaelezwa kuwa hali ya Mbunge wa Singida mashariki, Tindu Lisu inazidi kuimarika.
Kwa mujibu wa taarifa hizo, Lisu ana uwezo wa kusimama bila usaidizi wa magongo
Lisu amefanyiwa upasuaji mara nyingi katika mwili wake kwaajili ya kutolewa risasi baada ya kushambuliwa nyumbani kwake akitokea Bungeni mjini Dodoma
Mwisho.
Maoni
Chapisha Maoni