Mbunge Babati ashereheka na watoto yatima

Mbunge wa viti maalum wa Mkoa wa Manyara, mhe Ester Mahawe na uongozi wa UWT Wilayani Simanjiro, wameungana kwa pamoja katika kusherehekea siku ya wanawake duniani, wamekula chakula cha mchana na watoto yatima wa kituo cha Light in Africa kilichopo mji mdogo wa Mirerani.

Utaratibu huu umetajwa kuwa ni wa kuigwa kwani lengo ni kujenga mahusiani mema na makundi yaliyo pembezoni

Mahawe amewataka kutokata tamaa na kuamini kuwa Mungu ana sababu yake hivyo kuwa kama walivyo ni mapenzi ya Mungu na sio mwanadamu

Mwisho

Maoni