Viongozi wa dini mkoani Singida, wamemwombea Rais Dr John Magufuli afya njema ili aendelea kuongoza Taifa la Tanzania.
Hayo yamefanyika tar 11.3.2018 wakati akizindua kiwanda cha kusindika alizeti, Singida
Viongozi hao walisema, wanamatumaini na Rais Magufuli na kwamba ataikomboa nchi ya Tanzania kufikia maendeleo
Katika hatua hiyo Rais Magufuli ameagiza Waziri wa viwanda kuona namna bora ya kuwapunguzia kodi wanaotaka kuanzisha viwanda
Alisema hawezi kuzuia mafuta ya kupikia kutoka nje ingawa lengo lake ni kutaka viwanda vya ndani kufanya kazi za uzakishaji ili wananchi wanufaike
Maoni
Chapisha Maoni