Na MOHAMED HAMAD
Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini profesa Simon Msajira, amewataka wamiliki wa migodi kutoa ushirikiano kwa serikali kwenye ulinzi wa ukuta na migodi
Amewataka kulipa mishahara ya watumishi wao wanaochimba madini kama walivyoagizwa na uongozi wa Mkoa wa Manyara.
Serikal inekusudia kuendesha biashara ya Tanzanite kwa uwazi (so one stop CENTRE) Itajengwa mapema.
Siku ukuta ukifunguliwa, wote walioko ndani watatoka nje na kisha kuingia ndani kwa vitambulisho.
Uandikishaji Wa Raia kwa ajili ya vitambulisho hivyo hapa Mirerani utaanza mapema march 19/2018.
Maoni
Chapisha Maoni