BREAKING NEWS..

Salamu za katibu mwenezi wa CCM, kifo cha Bi Edna mwanachama wa CCM Babati vijijini


Nimepokea taarifa za msiba wa katibu wetu wa ccm Babati vijijini kwa masikitiko makubwa mnoo.....

Nitumie fursa hii kutoa pole nyingi kwa chama cha mapinduzi taifa, mkoa wa manyara, wilaya ya babati vijijini viongozi, wanachama na wananchi wote, wanafamilia ndugu jamaa na marafiki. Mungu awape nguvu na ustahimilivu katika kipindi hiki kigumu sana cha msiba

Ziara yetu
wilayani simanjiro imekuwa ngumu sana kwa kifo chako Edna. 

Imetubidi kuahirisha ziara sasa tumeanza safari kurudi babati kuungana na viongozi wenzetu kwa jambo hili...

Pumzika kwa amani dada yangu....

Salamu za Katibu MWENEZI wa CCM Mkoa wa Manyara..

Salamu za (Hamisi Malinga)

Ndg viongozi na Makada WA chama cha Mpinduzi nasikitika kuwatangazia kifo Chakatibu Mwenzangu WA CCM wilaya Bbt Vijijini Ndg Edina Edimundi Iyera kilocho tokea gafra Baada ya kupata strok gafra Taalifa zingine tutawataalifu utalatibu utakao Endelea wenu Fauswali Dauda Hamadi k/CCM wilaya Bbt mjini R.i,p Edina dadaangu

Maoni