Kauli ya Mbunge Paulina Gekuli:
Ndugu zangu wanababati ujumbe wenu wa stendi tayari Leo nimemfikishia, lakini Inaonekana katika Majibu yake, amekwepa kusema Nani anastahili kumiliki stendi hiyo.
Kasema mambo yenu ya babati mmalize wenyewe, sasa cha msingi wana babati tuwe wavumilivu tuone Je wataturudishia stendi au wanaendelea kudhulumu, tuwape muda, cha msingi wanababati tunajua kinachoendelea stendi ni dhuluma,
Kauli ya Afisa Uhamiaji Kiteto.
Utawala bora ni pamoja na kuzipa nafasi ngazi za chini za serikali kufanya maamuzi sahihi yanayohusu maisha yao katika mazingira yao.
Kama kila maamuzi yatafanywa na mkuu wa nchi basi watendaji wa chini wameshindwa kazi na hawastahili kuwepo.
Maoni
Chapisha Maoni