MADAWA YA KULEVYA SAME MWISHO

MADAWA YA KULEVYA SAME MWISHO.

🥦Ni kikao cha viongozi kuanzia ngazi ya vitongoji. vijiji, kata na Wilaya kuweka mkakati wa kumaliza mirungi.

🥦 Tangu juhudi zimeanza mirungi imepungua kwa 85% bado 15%

🥦 MKUU wa Wilaya yawasomea sheria mpya inayoruhusu kutaifisha mashamba.
Hakimu Wilaya atoa sababu ya kesi nyingi kushindwa- ikiwa ni pamoja na kutotoa ushahidi.

🥦DC atoa maagizo makali
🥦Atoa mwezi mmoja kuhakikiasha kila kitongoji na kila eneo la ardhi ya ung'oaji kufunguliwa mashtaka ( sheria inaruhusu)

🥦 Kuanza utaratibu kutaifisha mashamba 18 Mei, 2018
🥦 Viongozi waahidi kutoa ushirikiano
🥦OCD, PCCB, DAS, DPO, Mkt. Halmashauri watoa kauli nzito

🥦Waelekezwa mazao mbadala ya kupanda
🥦Maafisa kilimo waagizwa kutoa utaalamu
🥦Wapongeza Tamko la Rais la kutaka wananchi wang'oe wenyewe.

Ni kikao kilichohudhuriwa na kata 22 zikiwemo zilizong'oa mirungi tangu 2016/17. Katika ukumbi wa halmashauri Tar. 18/04/2018.  Kilihusisha Kamati ya ulinzi na usalama (W), Halimu wa Wilaya,  wataalamu toka halmashauri, Wah. madiwani, WEO, VEO, Wenyeviti vijiji na vitongoji.

" SAME BILA MIRUNGI INAWEZEKANA"

Maoni